Arudi Uswahilini Lyrics by Dulla Makabila
Nigerian musical artiste, Dulla Makabila drop the lyrics to his song titled “Arudi Uswahilini“
Read Arudi Uswahilini Lyrics By Dulla Makabila Below:
Aaah kisicho ridhiki hakiliki ukatae ukubali
Bora ungenunua mirungi hela uliyolipa mahari
Mbona we mzungu unapenda ndota ila zote mwisho chali
Mzungu hauna mwamvuli uliendaje juakali
Huzuni masikitiko mtu mzima ila unaendeshwa na ngono
Unawataka mpakandugu wa mke wako
Kweli mi malaya ila wewe malaya mno
[Verse 2]
Najua lazima ukimbilie polisi ila nimekwambia tu kudumisha peace
Uliyemwita twiga kageuka fisi ushatoa talaka njoo udange tu kama sisi
[Chorus]
Mwache arudi uswahilini maana uzungu umemshinda
Mrudishe uswahilini mana mzungu umemshinda
Mwache arudi uswahilini maana uzungu umemshinda
Huviwezi vichwa vya uswahilini
Huyo uzungu ushamshinda
[Verse 3]
Kuna muda namwelewa twiga kuna vitu vinaumaga mpaka ndani
Mtu anajiita bungati ila cha ajabu akamhonga Nissan
Na Watanzania unatuumiza vichwa husemi chochote upo kimya
Mpaka Said Said ameshangaa msemaji umekosa cha kusema
[Verse 4]
Twiga anajua kilichompelekwa si mapenzi ni Shilingi
Sawa mzungu simpendi ila kwangu kama dingi
Una mdomo mchafu sio yeye tu hata mimi siupendi
Bora ungesema mengine ila sio kusema hadindi hadindi
[Chorus]
Mrudishe uswahilini mana mzungu umemshinda
Mwache arudi uswahilini maana uzungu umemshinda
Mrudishe uswahilini mana mzungu umemshinda
Huviwezi vichwa vya uswahilini
Huyo uzungu ushamshinda
Discover more from FocusTunes
Subscribe to get the latest posts sent to your email.
Leave a comment