Read No Stress Lyrics By Nandy Below:
No more stress, no bad mood
Weka mbali stress, tuenjoy muda huu
No more stress, no bad mood
Weka mbali stress, tuenjoy muda huu
Mr LG
No more stress, mi sitaki shida
Na ujiangalie, kiufupi sina muda
No more, ukinibwaga haina shida
Nikung’ang’anie kwani we kadi ya nida
Na ivo vikodikodi msinisumbue
Najichanga vyangu mjengo niununue
Kiwe kikubwa, kidogo, ilimradi nipumue
Wacha nifosifosi, Mungu tu ndo afungue
Kushindana mashindano mie siwezi
Kupambana mapambano mie siwezi
Eti kutwa malumbano mie siwezi
Zangu dua na goti namwachia Mwenyezi
Kifupi no more stress
No bad mood
Weka mbali stress
Tuinjoy muda huu
No more stress
No bad mood
Weka mbali stress
Tuinjoy muda huu
Lord have mercy
‘Cause I know you’re best
My heart is the test
As [?] no resty
World is on fire (fire fire fire)
And I don’t want retire
Kushindana mashindano mie siwezi
Kupambana mapambano mie siwezi
Eti kutwa malumbano mie siwezi
Zangu dua na goti namwachia Mwenyezi
Kifupi no more stress
No bad mood
Weka mbali stress
Tuinjoy muda huu
No more stress
No bad mood
Weka mbali stress
Tuinjoy muda huu
Discover more from FocusTunes
Subscribe to get the latest posts sent to your email.